Mhudumu analeta supu huku
kidole gumba kimo ndani ya bakuli. MTEJA; mbona unaweka dole lako ndani ya supu? MHUDUMU: dokta kaniambia kidonda kiwe na joto saa zote ndiyo kitapona. MTEJA; (kwa hasira) si uwe unakichomeka matakoni kwako? MHUDUMU; " huwa nakichomeka nikiwa jikoni. MTEJA;
mpumbav mkubwa we" na hii supu kunywa mwenyewe.
No comments:
Post a Comment