MUME: Mke wangu, niwe mkweli pamoja na kuwa
kwa sasa tuna watoto sita mimi bado nakupenda sana. Na hakuna kitu kitakachoweza kunifanya
niache kukupenda, I love you honey. Nina swali
moja tu, huyu mtoto wa nne mbona yuko tofauti
na hawa wenzie sita, mkorofi, hataki shule yaani tabu tupu? Mke wangu nambie tu kama ana baba
tofauti na wenzie, kiukweli halitabadili mapenzi
yangu kwako.
MKE: Huku akipiga magoti) Mume wangu
najisikia vibaya naomba unisamehe ni kweli huyo
mtoto baba yake ni tofauti na wenzie
MUME: (Machozi yakimlengalenga) Dah mke wangu... baba yake ni nani?
MKE: Baba yake ni wewe..! mume akazimia pale pale.
No comments:
Post a Comment