1.ndugu mteja kifurushi chako kimeisha- vodecom
2.Usinipigie tena we ni mpuuzi (anna )
3 nakuonya kwa mara ya mwisho nataka kodi yangu? (mwenye nyumba)
4.tutumie pesa kidogo njaa,,(Mother)
5.sijaona siku zangu wiki ya nne sasa,,,(binti wa jirani)
No comments:
Post a Comment