1.I Love you honey (From juma kitaa)
2.Baby tunaweza toka weekend hii?? (From Fenik)
3.hujui najisikiaje nikikuona na jamaa mwingine (From ajaxson)
4.Beby,,usisahau kile kaTrip cha picnic (From konazi)
5.Beby umepata ile vocha nimetuma (johnny)
6.Babs ebu Cheki a/c yako ya M-pasa halafu uni call,,,(rich rich)
No comments:
Post a Comment